ENDELEZENI KIJIJI CHA MSOMERA, HANDENI,WAZIRI MKUU MAJALIWA.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa maeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kuendelea kusimamia kwa ukaribu na kuhakikisha shughuli za ujenzi katika kijiji cha Msomera kilichopo Handeni Makoani Tanga zinakamilika haraka. Amesema kuwa Wizara hiyo inapaswa kuhakikisha inaendelea kutoa elimu kwa wakazi wa Ngorongoro waliojiandikisha kuhama kwa hiari. “Zoezi hili linaloendea la kuimarisha miondombinu ikiwemo upimaji wa